LINUCE LIBENT MWAKA HUU (OFFICIAL VIDEO)
Автор: linuce libent
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 1508
Biblia imesema wazi katika kitabu cha Waebrania 11:1 kwamba Imani ni kuwa na hakika. Kupitia wimbo huu, naamini tunapata nafasi ya kumwamini Mungu zaidi, kwa ajili ya mambo yale ambayo pengine hayajatokea mpaka sasa, licha ya kungoja kwa muda mrefu. Namwamini Mungu kwamba huu ni mwaka wako wa kuinuliwa katika viwango vipya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: