Sauti ya Kuku, Maarifa ya Wafugaji!
Автор: Silverlands Tanzania Limited
Загружено: 2025-09-25
Просмотров: 808
Katika episode hii tunakuletea maarifa kutoka Chuo chetu cha Mafunzo ya Kuku, sehemu pekee inayowawezesha wakulima kupata ujuzi wa vitendo, mbinu sahihi za ufugaji na msaada wa kitaalamu.
👉 Sikiliza, jifunze na tumia elimu hii kuboresha maisha yako kupitia ufugaji wa kuku wenye tija!
Podcast #SilverlandsTanzania #SautiYaKuku #ChuoChaMafunzoYaKuku #MkulimaWaKuku #UfugajiBora #KilimoChaKisasa #KukuWaKisasa #MaarifaNiNguvu#kukuchotara#ufugaji#layers
Maarifa Leo, Mafanikio Kesho!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: