JINSI YA KUPANDA NAPIER KWA TUMBUKIZA METHOD
Автор: Smart Extension Services
Загружено: 2025-04-30
Просмотров: 83
Mwisho wa hii video utajifunza jinsi ya kupanda nyasi ya napier kwa mfumu wa tumbukiza, jinsi ya kujimba mashimo na umuhimu wa tumbukiza method.
Asante kwa KALRO Buchuma kwakutupa fursa hii yakupata mafunzo haya.
Pata maelezo zaidi ya ufuguji kupitia mitandao zetu za @smartextensionservices Facebook,Tiktok na Instagram
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: