Mwanzi Uliopondeka - Bernard Mukasa | Lent | Kwaresma
Автор: ST. CECILIA YOUTH CHOIR - BABADOGO
Загружено: 2025-03-15
Просмотров: 2404
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform Bernard Mukasa's Mwanzi Uliopondeka at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo.
ENJOY!
SONG: Mwanzi Uliopondeka
DIRECTOR: Kings
ORGANIST @eugineshikanga5550
CAMERA: @odhiswright
CHOIR: St. Cecilia Choir - Babadogo
1. Utambi mchafu wa Moshi mzito
Hatauzima, kadhalika mwanzi,
uliopondeka kamwe hatauvunja
(Hatanitupa), Bwana Yesu, (milele yote) atanipigania
(Hataniacha) Bwana Yesu,. (niangamie) atanipigania
2. Najua mtetezi wangu ni mwema,
mwenye huruma, mwingi wa rehema,
asiyeyahesabu maovu ya watu.
3. Nakiri Mimi mdhaifu kabisa,
nimeanguka, kulitii neno,
lakini nitamuangukia mwenyezi.
4. Nanyi ndugu zangu kwenu, natubu.
Niliyofanya, sikuwapendeza,
nisameheni nichukulieni pia.
5. Sikati tamaa kwa kuwa najua,
Yesu Mwokozi amenisamehe,
kwa kuwa hiyo ndiyo tabia ya Yesu
#Lent #Kwaresma #youthforchrist #youthministry #wanasecilia #KMC-Babadogo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: