NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO (IV) - PASTOR JOHN SEMBATWA
Автор: Reality of Christ Church
Загружено: 2022-04-06
Просмотров: 2800
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya vazi na roho ya mtu.Mtu akikuvalisha vazi akiwa amelitamkia jambo fulani basi yale matamko yanaenda moja kwa moja kuathiri roho yako na matokeo yatatokea mwilini sawasawa na matamko yaliyotamkwa.Ukisoma kitabu cha
Mwanzo 27:27
[27]Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema,
Tazama, harufu ya mwanangu
Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana.
Huyu ni Yakobo akiwa amejifanya Esau ili achukue baraka za mzawa wa kwanza, harufu ya vazi ilimfanya Isaka kumbariki Yakobo akidhani kuwa ni Esau, vazi lilitumika kuhamisha baraka za Esau na zikaenda kwa Yakobo.
Kuna watu waliibiwa/walipoteza nguo zao na toka hapo vitu vikaanza kuharibika kwenye maisha yao.
Hata kwa Eliya na Elisha pia..kabla Eliya hajaondoka alimwambia Elisha amuombe kitu chochote na Elisha akaomba sehemu "maradufu" ya roho ya Eliya, na kumpa hiyo alimuachia vazi, ndani ya vazi kulikuwa na hiyo package ya sehemu maradufu ya roho ya Eliya.
Kuna watu mavazi yao yaliibwa na yakapelekwa kwa waganga, kuna watu waliletewa zawadi za nguo na toka wavae tu hizo nguo vitu vyao vikaanza kukwama.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HIZI : +255 657 173 322 AU +255 764 888 810
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube
/ @pastorsunbellakyando
#RealityofChrist #PastorSunbellaKyando #PastorJohnSembatwa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: