Shadrack Mikononi mwa Polisi, Monica Atoa Ahadi ya Ujasiri – Mpali | S1|Ep70-73 | Maisha Magic Bongo
Автор: Maisha Magic Bongo
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 606
Mapenzi yamepata mtihani mkubwa kwenye Mpali!
Shadrack anajikuta mikononi mwa polisi, na Monica akilia kwa uchungu akimwambia atakuwa jasiri kwa ajili yake. Lakini naye anataka ahadi moja tu: “Niahidi kuwa utatoka.”
Je, mapenzi yao yatashinda vizingiti hivi au ndiyo mwanzo wa maumivu zaidi? Endelea kufuatilia safari hii yenye huzuni, matumaini na mapambano ya moyo.
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Official Website: https://bit.ly/3lXtAFc
Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:
https://bit.ly/2KnGqyv
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Instagram: / maishamagicbongo
Twitter: / maishamagictz
Facebook: / maishamagicbongo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: