Daraja la Magufuli Mwanza lafikia asilimia 48, kukamilika Februari 2024
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-07-21
Просмотров: 12987
Mkandarasi wa ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa katika ziwa Victoria Mkoani Mwanza kuunganisha mikoa na nchi za ukanda wa ziwa hilo, ameihakikishina bodi ya mfuko wa barabara kukamilisha ujenzi huo ifikapo mwezi Februaly mwaka 2024.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: