CHIEF TEDY MWAKAGILE MWAIKONDELA AFARIKI DUNIA
Автор: OBO SIX MEDIA
Загружено: 2025-08-11
Просмотров: 310
Ni majonzi ya maelfu ya watu kuguatia kifo cha CHIEF MKUU MTAWALA WA KAMBASEGELA
Mwl TEDY MWAKAGILE MWAIKONDELA mkazi wa kijiji cha mbambo ,kutokana na ukubwa wake au ufalme wa kimila Chief mkuu Mwakatumbula ameelekeza mwili wa chifu kuzikwa usiku na imefanyika hivo jana usiku
na kanisa la kkkt kushindwa kumzika chifu kwa hoja kali pande mbili machifu na kanisa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: