WANAFUNZI 400 WA LYAMUNGO SEC WATIMULIWA BAADA YA KUMFANYIZIA MWALIMU WAO WA NIDHAMU
Автор: GSengo
Загружено: 2018-03-02
Просмотров: 4774
Wanafunzi zaidi ya 400 wa kidato cha 5 katika shule ya sekondari ya Lyamungo iliyoko wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wamesimamishwa masomo kwa muda wa siku 17 mara baada ya kufanya vurugu ya kuvamia nyumba ya mwalimu wa nidhamu wa shule hiyo Mwalimu Safarani Rasini na kuharibu nyumba ya mwalimu huyo zikiwemo mali za shule.
Nini chanzo?....Ungana na mandishi wetu Fatma Seif kutoka eneo la tukio.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: