UBORA WA MWENYE KUHIFADHI QURAN | HADITH
Автор: DARUL ELMI MEDIA
Загружено: 2023-08-10
Просмотров: 519
1. Utukufu wa hali ya juu wa Qur-aan kwani ni maneno ya Rabb Mumba wa kila kitu.
2. Qur-aan humtoa mtu katika kiza cha upotofu na kumuingiza katika Nuru. Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):
الر ۚ كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ لِتُخْرِجَ النَّاسَ مِنَ الظُّلُمَاتِ إِلَى النُّورِ بِإِذْنِ رَبِّهِمْ إِلَىٰ صِرَاطِ الْعَزِيزِ الْحَمِيدِ ﴿١﴾
Alif Laam Raa. Kitabu Tumekiteremsha kwako (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) ili uwatoe watu kutoka kwenye viza kuwaingiza katika nuru kwa idhini ya Rabb wao, waelekee katika njia ya Mwenye enzi ya nguvu Asiyeshindika, Mwenye kustahiki kuhimidiwa kwa yote.
______________________________________________________________________
Endelea kujifunza na kujikumbusha kupitia kurasa zetu za Mitandao ya kijamii:
FACEBOOK | INSTAGRAM | TIKTOK
___________________________________
SUBSCRIBE - FOLLOW - LIKE - SHARE
@darulelmitv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: