CGI Dkt. Anna Makakala Afanya Ziara ya Kushitukiza Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa (JNIA) DSM
Автор: Uhamiaji Tv
Загружено: 2020-09-09
Просмотров: 2804
#OnTrending #UhamiajitzNews
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt.Anna Makakala Amefanya Ziara ya Kushtukia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. JK Nyerere jijini Dar es salaam na Kukagua Pasipoti za Abiria.
Aidha amewataka wageni wote na wenyeji wanaoingia nchini kufuata sheria, Kanuni na taratibu za Uhamiaji na nchi kwa ujumla ili kuendelea kudhibiti mipaka na kuilinda nchi yetu kwa nguvu zote hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: