Jinsi Ya Kupika Mkate Mtamu Nyumbani kwa Uraisi
Автор: Fooddiary Tz
Загружено: 2023-11-28
Просмотров: 15213
Mahitaji
Sukari vijiko 3-5
Chunvi nusu kijiko cha chai
Siagi nusu kikombe
Unga wa ngano vikombe 6
Hsmira kijiko cha chakula
Maziwa kikombe kimojA
Oka kwa moto wa 175 c kwa dakika 20
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: