Jinsi ya kupika TAMBI ZA NAZI ndani ya dakika nane tu kwa kutumia PRESSURE COOKER
Автор: Jiko Point
Загружено: 2025-07-24
Просмотров: 403
JIFUNZE namna ya kupika tambi za nazi kwa haraka na ladha ya kipekee kwa kutumia Westpoint Pressure Cooker! 🍝🔥
Pressure cooker hizi bora kabisa zinapatikana Jiko Point – Kinondoni Studio, mkabala na Zahanati ya Vijana, penye bango la Nukta Africa.
👉 Bei? Zipo kwa bei nafuu kabisa:
Digital – Tsh 180,000
Manual – Tsh 170,000
Usikose! Jionee mwenyewe urahisi wa kupika kwa haraka bila stress, huku ukihifadhi ladha na virutubisho.
Fuatilia video, jifunze mapishi na chukua jiko lako leo! 🍽️✨"**
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: