Theme: FUMBO LA REHEMA NA NEEMA YA MILELE 🔑
Автор: Hebron TV ENCC
Загружено: 2025-04-29
Просмотров: 49
Karibu ushiriki nasi katika juma la kiunabii! Tunatarajia mdhihirisho wa nguvu za Mungu, baraka na uwepo wa Bwana kufurika!🔥
Hii ni nafasi ya kukutana na Mungu kwa kina zaidi kwa kufunga na kuomba! 🕊️
🗓️ April 30 - May 04
Theme: FUMBO LA REHEMA NA NEEMA YA MILELE
🔑 Maandiko: Isaya 16:05
Usipange kukosa!
Kwa mawasiliano zaidi piga namba;
Tigo - 0652 789882
Voda - 0757 789883
Airtel - 0686 058434
#bishopdrmanassedm #madhabahuinayonena #enccmjiwabwana #HebronTVENCC #jumalakinabii
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: