VIWANJANI | Uchambuzi wa kina kikosi cha awali Taifa Stars kwa ajili ya AFCON 2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 450
Tazama uchambuzi wa kina uliofanywa na wachambuzi Michael Hyera na Rashid Hamis kuhusu kikosi cha awali cha Taifa Stars kwa ajili ya michuano ya AFCON 2025.
Pia umejadiliwa uamuzi wa Simba kuachana na Meneja Mkuu Pantev
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: