Je ni kweli Zanzibar ni ya kale? na jina lake linatokana na lugha gani? historia iliyofichwa
Автор: Nuzlan Islamic TV
Загружено: 2024-05-09
Просмотров: 32706
Nini maana ya (Zanzibar) na kwa nini imeitwa hivyo? mkasa wa pekee usiyotambulika.
Mpenzi mtazamaji:
karibu katika makala hii ya kusisimua, ambapo tutakusimulia historia ya visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba)
Tutachambua pia kwa nini imeitwa Zanzibar na nini maana ya jina hili? Pia kwa nini imeitwa kwa kiarabu (zenjibar) ama Zenji?
Haya yote na mengi mengineyo utayafahamu kwa kupitia makala hii ambayo tumekuandalia. usikose kufuatilia hadi mwisho wa makala hii ili upate kuyajua mengi kuhusu historia yetu ya Zanzibar na Afrika Mashariki kiujumla.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: