UFUNGUZI WA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA UDAHILI NA MITIHANI KUTOKA VYUO VIKUU
Автор: NACTVET
Загружено: 2025-06-27
Просмотров: 121
Lengo la Semina hii ni kuwawezesha Maafisa Udahili na Mitihani kupata uelewa wa kina kuhusu miongozo, sheria, kanuni na taratibu za Udahili na Mitihani ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazotokana na kutozingatia miongozo iliyowekwa na NACTVET.
Tarehe 27 Juni, 2025 SUA- MOROGORO
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: