Ni mbolea gani za Yara zinasaidia uzalishaji kwa wingi kwa zao la mpunga?
Автор: Yara Tanzania
Загружено: 2021-09-23
Просмотров: 8070
Kutana na mkulima wa mpunga kutoka Scheme ya umwagiliaji Mombo-Tanga akitueleza jinsi alivyoongeza uzalishaji kwa kutumia mbolea bora za Yara,Bw.Hamis ametumia Programu ya lishe kamili na linganifu ya Yara kwa zao la Mpunga katika mpangilio hapa chini.
Wiki 1 baada ya kupandikiza-(YaraMila OTESHA)
Wiki 2 baada ya kupandikiza-(YaraVita CROP BOOST lita 1 kwa ekari)
Wiki 3 baada ya kupandikiza-(YaraVera AMIDAS)
Kabla ya mimba dume-(YaraVera AMIDAS/YaraLiva NITRABOR)
#YaraTanzania#kilimochampunga#mboleaNiYara#mtonyoshambani#YaraMila
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: