Amaliza Ujenzi Baada ya Mafunzo ya Biashara Kidijitali DOT Tanzania.
Автор: DOT Tanzania
Загружено: 2022-04-01
Просмотров: 80
Kutana na mwanadada kutoka Kipunguni- Gongo la Mboto akieleza mafanikio yake baada ya kupata mafunzo ya jinsi ya kuhifadhi kumbukumbu za fedha kwa njia ya dijitali.
Amepitia program ya wiki mbili akijifunza jinsi ya kuunda biashara, kutunza kumbukumbu ya fedha, kutafuta wateja/ masoko kidijitali.
Mafunzo yetu ni BURE!
Ili kuhakikisha hupitwi na mafunzo haya na fursa nyingine nyingi fuatilia page za DOT Tanzania
~Facebook / dottanzania
~ Instagram / dottanzania
~Twitter / dottanzania
~LinkedIn / dot-tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: