Hizi hapa SABABU za Kwanini Bundles/ vifurushi vina UKOMO?
Автор: ELLY TECH
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 40
Mbona Vifurushi Vina Muda wa Kuisha? Jua Siri Nyuma ya Hili!
Je, umewahi kujiuliza kwa nini bando lako la intaneti au vifurushi vya simu vina muda maalum wa kuisha?
Huenda umenunua kifurushi kikubwa na kabla hujakitumia chote, muda wake unakwisha na unajikuta umepoteza. Katika video hii, nimeamua kufichua siri zote zilizofichika nyuma ya sera hii ya makampuni ya simu.
Music: FRICTION by mezhdunami / mezhdunami
Free Download / Stream: https://audiolibrary.com.co/mezhdunam...
Music promoted by Audio Library: • Top Free Background Music This Week #35 🎵 ...
#ellytech #vodacom #yas #tigo #airtel #Halotel #ttcl #vifurushi #mobiledata #datasaver #halichachi #bilakikomo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: