Wachimbaji wadogo wa Dhahabu mkoani Shinyanga wapinga agizo la serikali kuwatimua.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2016-08-15
Просмотров: 5776
Mamia ya wachimbaji wadogo wa Dhahabu wa eneo la Nyaligongo kata ya Mwakitolyo katika halmashauri ya Shinyanga wameandamana na kukusanyika kupinga kauli ya viongozi wa serikali ya wilaya ya Shinyanga inayowataka kuondoka katika eneo hilo la machimbo kabla ya tarehe 2/9/ mwaka huu ili kupisha shughuli za uwekezaji hatua ambayo imechukuliwa tofauti na kauli za viongozi wengine wa serikali iliyopita.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: