Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

ADHA YA USAFIRI DAR ES SALAAM | NI SIASA AU UCHUMI: a Film By John Maganga

Автор: MLIMANI TV UDSM

Загружено: 2023-01-31

Просмотров: 3099

Описание:

Serikali iko katika mpango wa kuanzisha usafiri wa treni za haraka za mijini METRO katikati ya 2025-2035 ili kutatua tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam baada ya zaidi ya miaka 20 ya mateso ya usafiri wa abiria wa jiji hili tangu sera ya mwaka 2003 ya usafirishaji iandaliwe.

Kwa takribani nusu karne Tanzania imekuwa ikiteseka na tatizo la usafirishaji abiria katika jiji la Dar es Salaam hii ni kutokana na idadi kubwa ya watu wanao ishi, kuingia na kutoka katika jiji hilo kufanya usafiri kuwa mchache na foleni kuwa kubwa.

makala hii imeangazia athari za kiuchumi zinazoletwa na changamoto hii kwa na haja ya serikali kutekeleza sera ya mwaka 2003 pamoja na mpango mkakati wa usafiri wa jiji la Dar es salaam.

mataifa mengi ya afrika licha ya kuwa hayajatatua changamoto ya foleni lakini yameshakwisha piga hatua kwa kuanzisha huduma nyingi na kubwa za usafirishaji abiria kama treni za Metro na Trams.

ENGLISH

The government is in the plan to introduce fast urban METRO trains in the middle of 2025-2035 to solve the transport problem in the city of Dar es Salaam after more than 20 years of suffering for passenger transport in this city since the policy of 2003 transportation launched.

For almost half a century, Tanzania has been suffering from the problem of transporting passengers in the city of Dar es Salaam.

this article has highlighted the economic and social effects brought by this challenge and the need for the government to implement the 2003 policy along with the strategic plan for the transportation of the city of Dar es Salaam.

Few African countries, despite not having solved the problem of queues, have already taken steps to establish many large passenger transport services such as Metro trains and Trams.

#foleni #habari #makala #usafiri #tanroads #latra #sgr #mlimanitv #sustainablefinance #worldbank

ADHA YA USAFIRI DAR ES SALAAM | NI SIASA AU UCHUMI: a Film By John Maganga

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

#MAKALA:UHABA WA MVUA ZA VULI NA MFUMUKO WA BEI NA UHABA WA CHAKULA

#MAKALA:UHABA WA MVUA ZA VULI NA MFUMUKO WA BEI NA UHABA WA CHAKULA

RAIS SAMIA AIPA TANROADS ZAIDI YA BIL 500 UJENZI MIUNDOMBINU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AIPA TANROADS ZAIDI YA BIL 500 UJENZI MIUNDOMBINU DAR ES SALAAM

ZIARA YA KISERIKALI YA MHE. RAIS DKT. SAMIA NCHINI ANGOLA

ZIARA YA KISERIKALI YA MHE. RAIS DKT. SAMIA NCHINI ANGOLA

NJIA SABA ZA METRO (SGR) JUU NA CHINI YA ARDHI KUJENGWA DAR ES SALAAM KUPUNGUZA FOLENI

NJIA SABA ZA METRO (SGR) JUU NA CHINI YA ARDHI KUJENGWA DAR ES SALAAM KUPUNGUZA FOLENI

AIR TANZANIA WAZINDUA SAFARI ZA KINSHASA CONGO “UTATUMIA MASAA MATATU TU, NAULI IPO CHINI”

AIR TANZANIA WAZINDUA SAFARI ZA KINSHASA CONGO “UTATUMIA MASAA MATATU TU, NAULI IPO CHINI”

UJENZI TRENI YA UMEME DSM TEGETA-MWENGE KUANZA, MATAJIRI GSM, MO DEWJI, BAKHRESA WAITAKA

UJENZI TRENI YA UMEME DSM TEGETA-MWENGE KUANZA, MATAJIRI GSM, MO DEWJI, BAKHRESA WAITAKA

Mradi wa RELI YA KISASA (SGR) DAR-MAKUTUPORA (SINGIDA)-TUNATEKELEZA.

Mradi wa RELI YA KISASA (SGR) DAR-MAKUTUPORA (SINGIDA)-TUNATEKELEZA.

MHE. RAIS SAMIA NA RAIS HICHILEMA WAKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI - IKULU ZAMBIA

MHE. RAIS SAMIA NA RAIS HICHILEMA WAKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI - IKULU ZAMBIA

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 02,  2025

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 02, 2025

Boti mpya ya Kilimanjaro VII kuanza safari hivi karibuni

Boti mpya ya Kilimanjaro VII kuanza safari hivi karibuni

🔴#Live Airport: MAPOKEZI ya RAIS wa RWANDA PAUL KAGAME, APIGIWA GWARIDE LA HESHIMA...

🔴#Live Airport: MAPOKEZI ya RAIS wa RWANDA PAUL KAGAME, APIGIWA GWARIDE LA HESHIMA...

TAZAMA WANAFUNZI WA URUBANI WA ALPHA SCHOOLS WAKIONYESHA UFUNDI WA KURUSHA NDEGE NAIROBI - KENYA.

TAZAMA WANAFUNZI WA URUBANI WA ALPHA SCHOOLS WAKIONYESHA UFUNDI WA KURUSHA NDEGE NAIROBI - KENYA.

TRENI MPYA DAR - ARUSHA, ABIRIA WAELEZA KUKWEPA ADHA YA USAFIRI

TRENI MPYA DAR - ARUSHA, ABIRIA WAELEZA KUKWEPA ADHA YA USAFIRI

JPM KUIBADILI DAR -TAZAMA Treni za Mijini kwenda Mbagala,Kigamboni Bagamoyo Pugu, Tegeta,NK.

JPM KUIBADILI DAR -TAZAMA Treni za Mijini kwenda Mbagala,Kigamboni Bagamoyo Pugu, Tegeta,NK.

Yokohama City Assembly, Japan

Yokohama City Assembly, Japan

CGI Dkt. Anna Makakala Afanya Ziara ya Kushitukiza Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa (JNIA) DSM

CGI Dkt. Anna Makakala Afanya Ziara ya Kushitukiza Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa (JNIA) DSM

HII NDIO KAULI YA MKUU WA MKOA KUHUSU HUDUMA YA MAGARI YA  MBAGARA .

HII NDIO KAULI YA MKUU WA MKOA KUHUSU HUDUMA YA MAGARI YA MBAGARA .

🔴LIVE: MJADALA WA WAZI KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA VYUONI

🔴LIVE: MJADALA WA WAZI KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA VYUONI

Magufuli Station is the official name of the SGR station in DSM  | Full trip from DSM TO MORO 2024

Magufuli Station is the official name of the SGR station in DSM | Full trip from DSM TO MORO 2024

'Tumedhamiria kuliboresha Jiji la DSM, tumeweka BILIONI 600' -DMDP

'Tumedhamiria kuliboresha Jiji la DSM, tumeweka BILIONI 600' -DMDP

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]