"KAZI KAZI" TAZAMA WAZIRI ULEGA ALIVYOSHTUKIZA 'SITE' USIKU, ATOA MAAGIZO HAYA KUHUSU UJENZI WA BRT
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2024-12-27
Просмотров: 3951
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza miradi hiyo ikamilike kabla ya msimu wa mvua za Masika mapema mwakani ili kupunguza changamoto za msongamano wa magari katika jiji hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: