LIVE :Mlimani Park Orchestra-"Matatizo ya Ukewenza". Saxophonist Shaaban Lendi akionyesha ufundi
Автор: Mlimani Park Orchestra SIKINDE NGOMA YA UKAE
Загружено: 2022-11-07
Просмотров: 15191
Mpiga saxophone Shaaban Lendi akionyesha ufundi wake kwenye wimbo wa "Matatizo ya Ukewenza" siku ya Jumamosi tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub Temeke Mwembeyanga siku alipotambulishwa kurudi rasmi bendi ya Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
Wimbo huu ni wa mwaka 1986 na ulitungwa na mwanamuziki Benno Villa Antony
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: