Zaeni Matunda Mema||Traditional
Автор: Mike King'oo
Загружено: 2022-05-15
Просмотров: 579
Wimbo-Zaeni matunda mema
Traditional melody
Umeimbwa na Mike King'oo
Maneno Ya Wimbo
1. Zaeni matunda mema, zaeni matunda yale
Zaeni yenye baraka, zaeni ya heri
Bwana akiyapokea, yatabarikiwa vyema
Zaeni matunda mema, zaeni ya heri
2. Safisha mwenendo wako, safisha matendo yako
Safisha na Bwana Yesu, safisha yote
3. Fanyeni kazi kindugu, fanyeni kazi kwa bidii
Fanyeni na Bwana Yesu fanyeni yote
4. Tolea matendo yako pamoja na moyo wako,
Naye Bwana Mungu wako atakubariki
5. Baraka za Mungu Baba, baraka za Mungu mwana
Na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: