Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBEBA KUSUDI LA KUWEPO II

Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Загружено: 2023-11-17

Просмотров: 6406

Описание:

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING* - 16/11/2023.

KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
"A SENSE OF PURPOSE"

NENO KUU
UNAFANYA NINI HAPA?
WHAT ARE YOU DOING HERE?
NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
1 Wafalme 19 : 9

UNAFANYA NINI HAPA?

NENDA KWENYE KIWANGO CHAKO
FROM TEST TO TESTIMONY
MBEBA KUSUDI LA KUWEPO

Matendo 9 : 36 - 43

36 Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.

37 Ikawa siku zile akaugua, akafa; hata walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.

38 Na kwa kuwa mji wa Lida ulikuwa karibu na Yafa, nao wanafunzi wamesikia ya kwamba Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi na kusema, Usikawie kuja kwetu.

39 Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika, wakampeleka juu orofani wajane wote wakasimama karibu naye, wakilia na kumwonyesha zile kanzu na nguo alizozishona Dorkasi wakati ule alipokuwa pamoja nao.

40 Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, ondoka. Naye akafumbua macho yake, na alipomwona Petro akajiinua, akaketi.

41 Akampa mkono, akamwinua; hata akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, hali yu hai.

42 Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana.

43 Basi Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yafa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi.

Mhubiri : Rev. Dkt. Eliona Kimaro

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBEBA KUSUDI LA KUWEPO II

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

"IMANUELI: MUNGU PAMOJA NASI" (EMMANUEL: GOD WITH US) / REV. DR. ELIONA KIMARO

REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO YA WATU

REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO YA WATU

REV. DR. ELIONA KIMARO: CHAGUA UZIMA NA MEMA AU MAUTI NA MABAYA

REV. DR. ELIONA KIMARO: CHAGUA UZIMA NA MEMA AU MAUTI NA MABAYA

REV ELIONA KIMARO - KUJITUNZA NAFSI (OFFICIAL VIDEO)

REV ELIONA KIMARO - KUJITUNZA NAFSI (OFFICIAL VIDEO)

REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA ILIYOBEBA FURSA

REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA ILIYOBEBA FURSA

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA SIKUKUU YA KRISMASI 25 DISEMBA 2025

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA SIKUKUU YA KRISMASI 25 DISEMBA 2025

REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA

REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA

Mungu Atakufurahisha / Rev. Dr. Eliona Kimaro

Mungu Atakufurahisha / Rev. Dr. Eliona Kimaro

MJUE ADUI YAKO KWA AJILI YA USALAMA WA FAMILIA YAKO

MJUE ADUI YAKO KWA AJILI YA USALAMA WA FAMILIA YAKO"PASTOR MGOGO

KANUNI 8 ZA KUKUTANA NA MUNGU KATIKA MAOMBI || PR. DAVID MMBAGA

KANUNI 8 ZA KUKUTANA NA MUNGU KATIKA MAOMBI || PR. DAVID MMBAGA

REV. DR. ELIONA KIMARO: WAKATI WA KUTOKA

REV. DR. ELIONA KIMARO: WAKATI WA KUTOKA

REV. DR. ELIONA KIMARO:  MAUMIVU YA MWISHO/LAST PAINS

REV. DR. ELIONA KIMARO: MAUMIVU YA MWISHO/LAST PAINS

WEWE USIKUBALI / REV. DR. ELIONA KIMARO

WEWE USIKUBALI / REV. DR. ELIONA KIMARO

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBINGU ZIKUFUNUKIE

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBINGU ZIKUFUNUKIE

HABARI NJEMA  (GOOD NEWS) REV. DR. ELIONA KIMARO

HABARI NJEMA (GOOD NEWS) REV. DR. ELIONA KIMARO

Mch Moses Magembe: JINSI YA KUTUNZA VIWANGO

Mch Moses Magembe: JINSI YA KUTUNZA VIWANGO

JINSI YA KUTAMBUA KUSUDI LA MUNGU JUU YA MAISHA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA

JINSI YA KUTAMBUA KUSUDI LA MUNGU JUU YA MAISHA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA

"MAAMBUKIZI YA NISHATI - HISIA" (EMOTIONAL CONTAGION) / REV.DR. ELIONA KIMARO

#KWA NINI HUFIKII MAISHA YA FURAHA? #2 -12/05/2023

#KWA NINI HUFIKII MAISHA YA FURAHA? #2 -12/05/2023

NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO

NGUVU YA KIBALI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]