Jinsi ya Kutekeleza Sunnah ya Nabii Ibrahim | Sheikh Abdulqadir
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2025-06-06
Просмотров: 637
Jinsi sahihi ya kutekeleza Sunnah ya Nabii Ibrahim (A.S) katika siku tukufu ya Eid al-Adha!
Fuatilia Khutba hii ya ijumaa iliyotolewa na Sheikh Abdulqadir Al-Ahdal kwa lugha ya kiarabu na kutafsiriwa kwa kiswahili ndani ya masjid Nurul-Hikma, TMK Dar es salaam.
.
Sheikh anafafanua kwa kina hatua muhimu za utekelezaji wa Sunnah hii adhimu — ili tuweze kuifuata kwa uelewa, heshima, na utiifu wa kweli.
.
Fuatilia hadi mwisho upate kuelimika, na usisite kusambaza ujumbe huu kwa waislam wengi zaidi. Jazakhallah khayran.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Sunnah ya Nabii Ibrahim, Eid al-Adha, Sheikh Abdulqadir, jinsi ya kutekeleza Sunnah, ibada ya Eid al-Adha, jinsi ya kuchinja Eid al-Adha, mawaidha ya Eid al-Adha, Eid al-Adha Tanzania, matendo ya Eid al-Adha, Sunnah ya kuchinja mnyama, historia ya Nabii Ibrahim, masharti ya kuchinja Eid, maandalizi ya Eid al-Adha, ibada ya Waislamu, ibada ya kuchinja, mawaidha ya Kiislamu, elimu ya Dini ya Kiislamu, video za Sheikh Abdulqadir, Kishki TV, mafundisho ya Eid al-Adha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: