Yanga 1–0 AS FAR Rabat – Highlights | Ushindi wa Kishujaa wa Wananchi!
Автор: ZECHA PRO
Загружено: 2025-11-22
Просмотров: 13240
Yanga SC 1–0 AS FAR Rabat Highlights – Ushindi mkubwa kwa Wananchi katika mchezo wa CAF Champions League! Yanga wameonyesha ubora, nguvu na nidhamu ya mchezo kutoka mwanzo hadi mwisho, wakipata bao muhimu lililowapa faida ya pointi na nafasi nzuri ya kusonga mbele.
Tazama magoli, skills, saves, moments za presha, na kila tukio kubwa lililotokea ndani ya dakika 90. Kama wewe ni shabiki wa Yanga au unapenda mpira wa Afrika, basi hii ni highlight ambayo hupaswi kuikosa.
Subscribe kwa highlights zaidi, matokeo ya papo hapo na updates za CAF Champions League!
#YangaSC #YangaVsASFAR #CAFChampionsLeague #YangaHighlights #ASFAR #Wananchi #FootballHighlights #Yanga1_0ASFAR #MpiraWaAfrica #TanzaniaFootball #AfricanFootball #CAF2025 #YangaMabaya #YangaGoals #ASFARRabat #LiveMatch #MatchHighlights #GoalHighlights
link ya match
• Yanga 1–0 AS FAR Rabat – Highlights | Ushi...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: