Jamaa Huyu Aliwezaje kuteka Ndege na Kutokomea na Mabilioni Bila Kukamatwa Hadi Leo HII? HUTAAMINI!
Автор: Charles Kombe
Загружено: 2024-08-02
Просмотров: 60224
#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe #DANCOOPER
Leo nakupeleka katika taifa la Marekani ambapo jamaa mmoja alifanikiwa kufanya tukio la uhalifu ambalo hadi leo hii halijaweza kutatuliwa na yeye mwenyewe hakuwahi kujulikana wala kukamatwa.
Jamaa huyu alikuwa ni mtu wa kwanza kabisa kuwahi kuteka ndege katika historia ya Marekani. Aliruka kwa kutumia parachuti akiwa na kiasi cha dola za Marekani laki mbili ambazo kwa thamani ya kipindi hiki inakadiriwa ni sawa na zaidi ya Bilioni 2 za Kitanzania.
_________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: https://rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: https://rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: https://rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: [email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: