Varda Arts ~ Watoto Wasafi Moyoni by Nipa Nag
Автор: MakD
Загружено: 2017-07-20
Просмотров: 20723
The song "Watoto" is common in Tanzania even today, It was written and Composed by Varda Arts and sung by Nipa Nag in 1987 when she was 5. The song was recorded at Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) currently known as Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) Radio. She was also awarded for this song during the "Top-Ten" competition in 1988 with Varda Arts.
Nipa, then moved back to India where she studied Music, currently, she holds a PhD in Music and teaches Music to various Universities in India.
History is made by DECISIONS, make yours today
Song: Watoto Wasafi Moyoni
Singer: Nipa Nag
Written, Composed and Music: Varda Arts
Venue: Vijana Social Hall, Kinondoni, Dar es Salaam
Intro:
Kama watu wote ulimwenguni
Wangebaki kama watoto
Kusingekuwa na matatizo
Yaliyopo duniani
Watoto
Wasafi moyoni
Ni nyota na macho ya wazazi
Sisi ni maua
Tuliyopendwa
Na Mungu Mwenyezi
Watoto
Wasafi moyoni
Ni nyota na macho ya wazazi
Sisi ni maua
Tuliyopendwa
Na Mungu Mwenyezi
Hukasirika na wenzao
Mara husemezana wao hao
Hukasirika na wenzao
Mara husemezana wao hao
Wakigombana na wenzao
Muda si Muda
Huzungmza nao
Laa la la la laa
Laa la la la la la
Laa la la la la la
Laa la la la la la
Hawana visa mioyoni mwao
Hakuna yeyote mgeni kwao
Hunyoshea kila mtu mikono
Bila hila moyoni
Sisi ni maua
Tuliyopendwa
Na Mungu Mwenyezi
Watoto
Wasafi moyoni
Ni nyota na macho ya wazazi
Sisi ni maua
Tuliyopendwa
Na Mungu Mwenyezi
Miili myororo mioyo safi
Mbele ya wakubwa watoto wakweli
Miili myororo mioyo safi
Mbele ya wakubwa watoto wakweli
Hawana ubaguzi
Ukabila hawajui
Laa la la la la
Laa la la la la laa
Laa la la la la laa
Laa la la la la laa
Lugha hao hawajaali
Hawana chuki kwenye Dini
Mskiti na Kanisa
Ni moja kwao hao machoni
Sisi ni maua
Tuliyopendwa
Na Mungu Mwenyezi
Watoto
Wasafi moyoni
Ni nyota za macho ya wazazi
Sisi ni maua
Tuliyopendwa
Na Mungu Mwenyezi
Na Mungu Mwenyezi
Mungu Mwenyezi
Mungu Mwenyezi
Mungu Mwenyezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: