MATOKEO YA MBOKEA YA MINJINGU MSIMU WA 2022 23
Автор: Minjingu Mines
Загружено: 2023-08-04
Просмотров: 778
#minjingumines @minjingumines
Lisha udongo na mbolea ya minjingu.
Kampuni ya Minjingu Mine Fertilizer limited ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea za aina mbalimbali, ikiwemo ya kupandia, kukuzia na kunenepeshea ama kuongeza mazao.
Mbolea ya minjingu ni mbolea asilia yenye virutubisho nane ndani ya punje moja ambayo huongeza mavuno ya mazao kwa kiasi kikubwa, huyeyuka taratibu na hukaa muda mrefu kwenye udongo mbolea ambazo zinauwezo wa kuhudumu katika mazao yote ya nafaka, matunda na mbogamboga
Lisha udongo na mbolea ya minjingu, karibu mkulima mwenzangu katika mashamba ya wakulima wenzetu waliotumia mbolea ya minjingu na kupata matokeo bora shambani
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: