Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NO 1: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

Автор: ZANZIBAR YETU

Загружено: 2025-12-26

Просмотров: 7451

Описание:

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Awataka Waislamu Kutekeleza Matendo Mema

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewataka Waislamu kote nchini kuishi kwa vitendo misingi ya dini yao kwa kutekeleza matendo mema na kusimamia haki, kama Uislamu unavyoelekeza.

Othman alitoa wito huo leo katika Msikiti wa AL- Ghaithiy. uliopo Mwera Kidogo Basi, mara baada ya kukamilika kwa ibada ya Swala ya Ijumaa.

Alisema kuwa jamii hupata imani na matumaini pale inapokuwa na viongozi wanaosimamia haki za wananchi kwa uadilifu, hususan viongozi Waislamu wanaotarajiwa kuongozwa na misingi ya dini yao.

“Jamii inaamini pale inapomwona kiongozi anayesimamia haki zao ni Muislamu, wakitarajia kutendewa haki. Lakini leo, katika shehia zetu, wapo masheha ambao ni Waislamu lakini bado wanawakandamiza Waislamu wenzao kwa kuwanyima haki zao,” alisema Othman.

Aliongeza kuwa ni jambo la kusikitisha kuona mtu anayejitambulisha kama Muislamu akitumia mamlaka yake vibaya hadi kufikia kumwaga damu ya Muislamu mwenzake, kitendo ambacho ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.

Katika kuhitimisha hotuba yake, Mwenyekiti huyo aliwausia waumini hao kusimamia haki kwa vitendo na kuwekeza katika elimu na mafunzo ya haki, ili kujenga jamii yenye kuaminiana, mshikamano na amani ya kweli.

NO 1: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Zanzibar, eneo na mipaka yake kwa mtazamo wa kisheria na kihistoria-URITHI WETU (Episode 1):

Zanzibar, eneo na mipaka yake kwa mtazamo wa kisheria na kihistoria-URITHI WETU (Episode 1):

OMO, Mwinyi uso kwa uso, ACT yaibana serikali mahakamani | GUMZO UPDATES

OMO, Mwinyi uso kwa uso, ACT yaibana serikali mahakamani | GUMZO UPDATES

NO 2: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

NO 2: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

MJI ULIOJENGWA KWA MAWE MIAKA 500 ILIYOPITA NCHINI OMAN - حارة العين في أمطي - عمان

MJI ULIOJENGWA KWA MAWE MIAKA 500 ILIYOPITA NCHINI OMAN - حارة العين في أمطي - عمان

Como a Cana-de-Açúcar Vira Açúcar Cristal Dentro de uma Fábrica Gigante

Como a Cana-de-Açúcar Vira Açúcar Cristal Dentro de uma Fábrica Gigante

WALIPAJI SIO SERIKALI NI MAREKANI WENYEWE - BAUCHA

WALIPAJI SIO SERIKALI NI MAREKANI WENYEWE - BAUCHA

PAPO KWA PAPO! DKT. BASHIRU AKITATUA CHANGAMOTO ZA WANUFAIKA WA VIZIMBA VYA SAMAKI MARA!

PAPO KWA PAPO! DKT. BASHIRU AKITATUA CHANGAMOTO ZA WANUFAIKA WA VIZIMBA VYA SAMAKI MARA!

Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye mtihani mzito

Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye mtihani mzito

#KUTANA NA KIJANA MUUZA UFUTA MAARUFU ZNZ. Ep7

#KUTANA NA KIJANA MUUZA UFUTA MAARUFU ZNZ. Ep7

Jake Paul vs. Anthony Joshua FULL Highlights | Netflix

Jake Paul vs. Anthony Joshua FULL Highlights | Netflix

UTATA WA KISHERIA KATIKA KESI ZA ACT WAIBUKA MAHAKAMANI

UTATA WA KISHERIA KATIKA KESI ZA ACT WAIBUKA MAHAKAMANI

Hadithi ya makandokando kwenye mjadala wa DP World| GG Podcast

Hadithi ya makandokando kwenye mjadala wa DP World| GG Podcast

Sakata la kupotea alokuwa mgombea wa ndani Uwakilishi CCM Chaani- Familia yasema kuna mkono wa mtu

Sakata la kupotea alokuwa mgombea wa ndani Uwakilishi CCM Chaani- Familia yasema kuna mkono wa mtu

HISTORIA YA MADHEHEBU YA IBADHI (01) - CHIMBUKO LA MADHEHEBU YA KIIBADHI

HISTORIA YA MADHEHEBU YA IBADHI (01) - CHIMBUKO LA MADHEHEBU YA KIIBADHI

Inside the Toothpaste Factory — From Animal Bones to Toothpaste | Full Process

Inside the Toothpaste Factory — From Animal Bones to Toothpaste | Full Process

Zoezi Maalum la kuondosha Vibanda vya Barabarani

Zoezi Maalum la kuondosha Vibanda vya Barabarani

IDADI YA ABIRIRA WA MELI KISIWANI PEMBA YAZIDI KUONGEZEKA

IDADI YA ABIRIRA WA MELI KISIWANI PEMBA YAZIDI KUONGEZEKA

TUJIKUMBUSHE: Kama ulikuwa humjui huyu ndie Othman Masoud Othman na msimamo wake kwa ZANZIBAR.

TUJIKUMBUSHE: Kama ulikuwa humjui huyu ndie Othman Masoud Othman na msimamo wake kwa ZANZIBAR.

Historia ya Taifa Lenye Watu Wenye Moyo Mkubwa Baharini | Historia ya Visiwa Vya Comoro

Historia ya Taifa Lenye Watu Wenye Moyo Mkubwa Baharini | Historia ya Visiwa Vya Comoro

Зеленский заявил об уходе / Покинуть страну за 24 часа

Зеленский заявил об уходе / Покинуть страну за 24 часа

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]