KUGUSANA NA MWANAMKE KUNATENGUA UDHU?
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2020-10-14
Просмотров: 12751
Mada hii ni swali lililoulizwa katika kipindi cha Fadhakkir kinafanyika kila siku ya Ijumaa ndani ya Studio za Kishk Tv, na hili swali ilikuwa kipindi cha Tarehe 2/10/2020 ili kuipata Mada kamili fatilia mada yenye anuani hii MASHARTI 5 YA KUKUBALIKA KWA NDOA, inshallah tuendelee kuelimika pia tunaomba msambaze link ya mada zetu mbalimbali na Allah atawalipa kusambaza mambo ya kheir.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: