Askofu wa Peoria (USA) alivyowasili Jimboni Bukoba
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2024-01-09
Просмотров: 12213
ASKOFU WA PEORIA BUKOBA TANZANIA
Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Method Kilaini akiwa na mapadre wa Jimbo hilo, walivyompokea Askofu Louis Tylka, Askofu wa jimbo Katoliki la Peoria, Marekani (USA) katika uwanja wa ndege mjini Bukoba.
Askofu Tylka amewasili Jimbo Katoliki la Bukoba akiwa na mwenyeji wake Padre Deusdedith Byabato ambaye pia anafanya utume wake Jimbo Katoliki la Peoria , ikiwa ni ziara yake ya matembezi Jimboni Bukoba, na kulakiwa na Watawa wa mashirika mbali mbali na waamini.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: