VD. 05. MJADALA: MASWALI YA USTAADHI JAMADA KWA SHEIKH YUSUF DIWANI NA MAJIBU ALIYOYATOA SHEKH DIWAN
Автор: USALAFINI KWETU ONLINE TV
Загружено: 2026-01-03
Просмотров: 383
Mjadala huu ulifanyika katika kwa njia ya WhatsApp katika kundi liitwalo HOJA YA KISUFI NA HOJA YA KISALAF. Mjadala huu ulijadili madai ya sheikh Yusufu Diwani ya kuwa ALLAH YUPO PASINA MAHALA na ustaadh hassan jamada akikanusha ilo na kuthibisha kwa haki kuwa ALLAH YUKO JUU YA ARSHI.
Mwisho wa mjadala huu sheikh yusufu diwan aligoma kabisa kutoa ushahidi juu ya madai yake dhidi ya masalaf kuwa wanapokea mshahara kutoka vatcan akidain kuwa hilo ni jambo la kimkakati na siku akitaka kutoa ushahidi atatoa mwenyewe. hali hii ikapelekea Admin wa group kutoa kauli yake juu ya ubabaishaji na uongo wa sheikh yusuf diwani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: