Polisi Dodoma ilivyombananisha mkulima wa bangi “Nilienda kwa mganga”
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-03-29
Просмотров: 401437
Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto alifunga safari hadi katika msitu wa Wotta uliopo kijiji cha Mwanawotta Wilaya ya Mpwapwa mkoani humo na kuendesha Operation ya kufyeka na kuchoma mashamba ya bangi ambapo pia katika tukio hilo Askari walifanikiwa kumkamata mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Julius Luagala mwenye umri wa miaka 51 kwa tuhuma za kujihusisha na kilimo cha zao hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: