ONGE NG'ANO - REVIVERS MINISTERS - OFFICIAL VIDEO
Автор: THE REVIVERS MINISTERS
Загружено: 2021-07-16
Просмотров: 70967
In this song, Revivers family are asking for empowerment amid trials and temptations as live moves on. This is the translated Version of the song. Be blessed.
Hakuna wa kulinganishwa na wewe duniani hata binguni ewe yesu hakuna wa kulinganishwa nawe mungu wetu wewe ndiye mungu wetu utushike,utulinde hadi milele.
Yesu sisi ni wanyonge hatuna nguvu twaomba utupe nguvu ya kushindana na mwovu shetani kwa maana sisi wenyewe hatuna nguvu lkn tuna imani kwako yesu hata ingawa tunapitia kwenye majaribu tuna imani tutashinda.
Kwa hivyo tupe imani ya kushindana na na haya majaribu haya tunayoyapitia kwa maana nguvu na uwezo ni wako hadi milele.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: