JIJI LA DODOMA LIMEPANGWA LOTE, USINUNUE MAENEO, VIWANJA KIHOLELA
Автор: Dodoma City TV
Загружено: 2021-01-31
Просмотров: 1057
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru amewatahadharisha wananchi wanaonunua maeneo na viwanja kiholela jijini kuacha mara moja tabia hiyo kwani mji huo wote una Mpango Kabambe (Master Plan) wa miaka 20 ijayo.
Amezungumza hayo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani wakati akijibu swali la Diwani wa Kata ya Mbabala, Mhe. Pascazia Mayala juu ya uuzaji viwanja kiholela katika eneo la Chikoa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: