Wavuvi wasisitiza kutumia mbinu za kale za uvuvi
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2025-11-18
Просмотров: 61
#Kenya #lamu #sustainablefishing
Kwa muda sasa wavuvi kutoka kaunti ya Lamu, nchini Kenya, wamekuwa wakizozana na serikali kuhusiana na mbinu za kisasa za uvuvi kwa sababu ya misimu huku serikali ikiwataka watumie technolojia katika uvuvi.
Benson Wakoli alizungumza na wavuvi wa Lamu kufahamu changamoto zao
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: