DAWA ZINAZOINGILIANA NA VITAMIN B 9 FOLIC ACID KWA MAMA MJAMZITO
Автор: PDK Generation
Загружено: 2023-05-11
Просмотров: 3574
Baadhi ya dawa huingiliana na Folic acid vitamin B 9, Mwingiliano huu hupelekea kiasi cha folic acid kuwa chini kwenye damu. Kwa mama mjamzito hii huweza kupelekea madhara makubwa kwa mtoto atakayezaliwa.
kwenye makala hii tumeeleza kuhusu mwingiliano kati ya baadhi ya dawa na vitamin b9 ambayo pia inafahamika kama folic acid.
@millardayoTZA @SimuliziNaSauti @kitengetv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: