Namna yakufanya unapokutana na VITA ktk nafasi ya MBEBA MAONO au KIONGOZI au LANGO mahali ulipo.
Автор: Mwl.Daniel Mwaitenga
Загружено: 2022-03-30
Просмотров: 13904
Karibu chuoni;
katika ngazi ya familia (ukoo), MBEBA MAONO au KIONGOZI au LANGO majukumu yake huwa yanakuwa mengi na mazito kuliko watu wengine;
Viyohivyo na VIAT yake huwa inakuwa kubwa kuliko watu wengine kwasababu ya hiyo NAFASI.
Nakuombea NEEMA ya Mungu iwe kubwa juu yako na msaada wa Mungu uwe karibu nawe kuliko mtu yeyote ili kukusaidia kumudu hiyo nafasi na kukupa kushinda.
#gombachuo
Mwl. Daniel Mwaitenga.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: