(Sehemu 1) - KWA NINI WAKATOLIKI TUNA SANAMU KANISANI??
Автор: Fr. Peter Kafumu, OFM Cap
Загружено: 2022-12-15
Просмотров: 5070
Uwepo wa sanamu ndani ya makanisa ya kikatoliki yamewafanya baadhi ya watu kufikiri kuwa Wakatoliki wanaabudu sanamu. Jambo hili si kweli hata kidogo. Fuatana nami katika mfululizo huu leo ikiwa ni sehemu ya kwanza. Usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT na SHARE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: