Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2020-10-10

Просмотров: 86643

Описание:

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Sikuwahi kukutana na Dr Mwaka mimi kabla ya tarehe 26 ya mwezi wa tisa, ila nilishawahi kuongea nae kwa simu mara mbili kabla ya kukutana, hatukuwa marafiki ila maongezi yetu ya mara ya kwanza kwenye simu yalinifanya nijue kwa kiasi yeye ni mtu wa aina gani, na nilivyokutana nae pia iliongeza heshima yangu kwake kwa kazi anayofanya na aina ya mtu yeye alivyo. Nisiseme kwa kupepesa, alini impress na nilijifunza vitu kadhaa kwa muda mchache niliokaa naye na kuongea nae.

Alikuja na mkewe kwenye set ya kipindi na alihakikisha mkewe anafika mpaka kwenye ‘kizuizi’ cha mwisho kabisa kabla ya kufika kwenye meza ya mahojiano na pia alihakikisha macho yake na ya mkewe yanagongana kila anakapopenda kufanya hivyo. Wakati mwengine watu hufanya mambo kwaajili ya camera ili wapate kuongelewa, ila kwa wanaopendana kila kitu huwa kinakua wazi, jinsi wanavyoongea, wanavyocheka, wanavyoangaliana na mengineyo imenipa sababu ya mimi kukubali kwamba wawili hawa ni wanapendana kweli. Na tukumbuke kwamba huyo si mke pekee wa Dr JJ Mwaka kama sote tunavyofahamu, ila hakuna ubishi kwamba yeye pia ni mke wake pendwa kabisa.

Maongezi yetu yalianzia kwenye asili yake kama kawaida, na aina ya maisha anayoishi sasa. Kama ni kipaji au alienda shuleni kusoma haya anayoyafanya, na suala la yeye kuwa Daktari Bingwa wa nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kina Mama, na kama hizo tu ndo tiba yeye hufanya. Alinza lini? Alirithishwa? Na je wakati mwengine maneno watu wanasema juu yake yanamkera au yanampa motisha ya kufanya zaidi? Unaikumbuka ile skendo ya kutaka kufungiwa ofisi? Aliimalizaje? Na chimbuko lake haswa hiyo story ni wapi? Ilikuaje akachomoka humo? Na Kuna khadithi na mahusiano yake na wake zake? Hana mmoja mwenzangu. Anawezaje kukaa na wote? Alishapitia ndoa ngapi? Je kasomea taaluma yake hii? Biashara ina faida? Je kuhusu skendo ya kutumia magonjwa ya wanawake na kujipatia wake ni kweli?

Kusema za ukweli tumeongea sana, na nimejifunza sana kupitia mazungumzo haya na kama ilivyo ada natumai na wewe utaokota mawili matatu na pengine kupata idea ya ajira na kujikwamua kwa hapa na pale. Dr Mwaka pia ni mtu anayependa watu wengine waendelee na aliniambia kama kwa yeye kuja kwenye kipindi kutasaidia hata kwa theluthi tu na kufanya vijana na wengine wajiongeze basi angependa kuja na alifanya hivyo, kwa hilo namshkuru sana. Tafadhali enjoy rafiki.

Love,
Salama.

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 2

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 2

Dr Mwaka afichua SIRI kuhusu IMANI katika ULIMWENGU wa ROHO.. Kwanini MAOMBI mengi hayajibiwi

Dr Mwaka afichua SIRI kuhusu IMANI katika ULIMWENGU wa ROHO.. Kwanini MAOMBI mengi hayajibiwi

Wachungaji toeni posho kanisani#Muziki kanisani#Wekeza Huduma ikue

Wachungaji toeni posho kanisani#Muziki kanisani#Wekeza Huduma ikue

STAREHE YA MWANAMUME WASIYOIJUA WANAWAKE ~ Dr. Mwaka

STAREHE YA MWANAMUME WASIYOIJUA WANAWAKE ~ Dr. Mwaka

TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MVULANA & JE, WANAWAKE HUDHARAU WANAUME WASIO NA PESA? ~ Dr. J.J. Mwaka

TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MVULANA & JE, WANAWAKE HUDHARAU WANAUME WASIO NA PESA? ~ Dr. J.J. Mwaka

DR MWAKA afunguka SIRI nzito USIZOZIJUA kuhusu UCHAWI na unavyofanya KAZI

DR MWAKA afunguka SIRI nzito USIZOZIJUA kuhusu UCHAWI na unavyofanya KAZI

OBINNA SHOW LIVE: DARK SECRETS OF WEALTH, MARRIAGE & BETRAYAL- Dr. Mwaka

OBINNA SHOW LIVE: DARK SECRETS OF WEALTH, MARRIAGE & BETRAYAL- Dr. Mwaka

Dr Mwaka huyu hapa! Ana mapya kibao, akumbushia ya Wema na Idris, nguvu za kiume, kuzamia treni

Dr Mwaka huyu hapa! Ana mapya kibao, akumbushia ya Wema na Idris, nguvu za kiume, kuzamia treni

ГАЛИЦКИЙ: КАК ПОТЕРЯТЬ 165 МЛРД ₽ И СТАТЬ СВЯТЫМ

ГАЛИЦКИЙ: КАК ПОТЕРЯТЬ 165 МЛРД ₽ И СТАТЬ СВЯТЫМ

DINI ZOTE NI UOMGO TU

DINI ZOTE NI UOMGO TU

Haikuwa rahisi Dr Mwaka kufanikiwa, safari yake itakushangaza, hautokata tamaa tena | CHIMBO

Haikuwa rahisi Dr Mwaka kufanikiwa, safari yake itakushangaza, hautokata tamaa tena | CHIMBO

Dr Mwaka asimulia alivyoishuhudia NGUVU ya MUNGU live kwenye kazi zake, inatisha!

Dr Mwaka asimulia alivyoishuhudia NGUVU ya MUNGU live kwenye kazi zake, inatisha!

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

SIKILIZA MAJIBU YA SWALI TETE. JE, NI LAZIMA MWANAMKE KUOMBA RUHUSA KWA MUMEWE AKITOKA NYUMBANI?

SIKILIZA MAJIBU YA SWALI TETE. JE, NI LAZIMA MWANAMKE KUOMBA RUHUSA KWA MUMEWE AKITOKA NYUMBANI?

PART 1: DR. MWAKA AIBUKA, HAJAKUBALI NDOA KUVUNJWA, AMVAA SHEIKH WA DSM

PART 1: DR. MWAKA AIBUKA, HAJAKUBALI NDOA KUVUNJWA, AMVAA SHEIKH WA DSM "HAYA NI MATAPISHI, AIBU".

MUISLAMU KUOMBEWA NA MCHUNGAJI, MKRISTO KUOMBEWA NA SHEHE NI SAWA? | HARD TALK

MUISLAMU KUOMBEWA NA MCHUNGAJI, MKRISTO KUOMBEWA NA SHEHE NI SAWA? | HARD TALK

"WAZURI WANATUMIKA TU." | KINACHOTOKEA MPAKA WENYE SURA NA SHAPE ZA KAWAIDA KUDUMU NDOANI~ Dr. Mwaka

INATISHA- Jini FATUMA atikisa KISIWA cha MAFIA(Bweni), anahitaji DAMU kila mwaka, watu wageuka MAWE

INATISHA- Jini FATUMA atikisa KISIWA cha MAFIA(Bweni), anahitaji DAMU kila mwaka, watu wageuka MAWE

PART 2 :

PART 2 : "Kuna Siku huwa nalala na wake zangu kitanda kimoja" Dr. Mwaka

Dr.Mwaka delves into the roots of witchcraft in families,African spirituality & rising divorce rates

Dr.Mwaka delves into the roots of witchcraft in families,African spirituality & rising divorce rates

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com