AJALI MBAYA RUVUMA: MALORI ya MAKAA ya MAWE YAGONGANA USO kwa USO KATI ya KILIMA SERA na HULIA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-02
Просмотров: 567
AJALI MBAYA RUVUMA: MALORI ya MAKAA ya MAWE YAGONGANA USO kwa USO KATI ya KILIMA SERA na HULIA...
@Grace Khuni
CC;JUMA KAHEMELA
Magari mawili ya makaa ya mawe yenye namba za usajili T558 DPX na T568 EKU yamegongana katika eneo lililopo kati ya kijiji cha Kilimasera na Hulia, mkoani Ruvuma, muda huu.
Ajali hiyo imetokea wakati gari moja likitokea njia ya Songea, huku jingine likiwa linaelekea njia ya Tunduru, hali iliyopelekea magari hayo kugongana uso kwa uso katika eneo hilo.
Hadi sasa, taarifa za kina kuhusu chanzo cha ajali na hali za madereva au mali iliyoharibika bado hazijapatikana, huku vyombo husika vikiendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: