FAHAMU MENGI ZAIDI KUMHUSU HAYATI (RAILA ODINGA) |MIAKA KADHAA GEREZANI KAMWE HAKUWAZA KUKATA TAMAA
Автор: MOKAH360
Загружено: 2025-10-17
Просмотров: 12
Serikali ya nchi ya kenya imetangaza kifo cha aliekua waziri mkuu wa nchi hiyo mnamo 2008-2013 hayati raila omolo odinga ambacho kimetokea mnamo tarehe 15 oktoba 2025 huko nchini India, akiwa anapatiwa matibabu ya maradhi ya moyo.
Raisi ruto ametangaza siku tano za maombolezo pamoja na maziko ya heshima kwa kiongozi huyo
Taifa la kenya litamkumbuka odinga kwa mengi ambayo yamekua kama mchango kwenye taifa la kenya uongozi wenye demokrasia na haki ndani yake
TAZAMA tabu alizozipitia odinga ndani ya uongozi wake na kabla hadi kifo☝️
#kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #railaodinga #odinga
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: