DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 27, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-09-27
Просмотров: 12119
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu| Septemba 27, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo | Ripoti na Uchambuzi | Taarifa ya Habari | Matangazo ya DW |
Umoja wa Mataifa umesema kuongezeka kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya kundi la Hezbollah kumeifanya Lebanon kukabiliwa na kipindi kibaya zaidi.
-Rais William Ruto wa Kenya amesema mfumo unaosimamia usalama wa ulimwengu chini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa unahujumu jitihada za kuimarisha amani kimataifa.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: