Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

TUKIO LA KUTISHA 5 WAUWA, WENGINE ZAIDI YA 30 WAKIJERUHIWA MSIKITINI

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-12-26

Просмотров: 1308

Описание:

Polisi nchini Nigeria wamesema kuwa waumini watano waliuawa na wengine 35 kujeruhiwa baada ya mshukiwa wa kujitoa mhanga kulipua kilipuzi ndani ya msikiti katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno.
Shambulio hilo lilitokea Jumatano jioni, Desemba 25, wakati waumini walipokuwa wakikusanyika kwa ajili ya sala za jioni katika msikiti wa Al-Adum.

Mpaka sasa, hakuna kundi lililodai kuhusika na shambulio hilo. Tukio hili linatokea wakati hali ya usalama ikiendelea kuwa tete kaskazini mashariki mwa Nigeria, eneo ambalo limekuwa likikumbwa na mashambulizi ya waasi wa Kiislamu wa Boko Haram pamoja na kundi la ISWAP kwa zaidi ya miaka 15.

Mashahidi walisema mlipuko huo ulizua hofu kubwa, huku waathiriwa wakikimbizwa kwa haraka katika Hospitali ya Mafunzo ya Chuo Kikuu cha Maiduguri na Hospitali Maalum ya Serikali.

Kiongozi wa soko, Masta Dalori, alisema:
“Ilikuwa wakati wa sala ndipo bomu lililipuka. Hakuna anayejua kilichotokea. Mwenyezi Mungu amekusudia, lakini hakuna anayeweza kueleza kilichotokea.”

Gavana wa Jimbo la Borno, Babagana Zulum, amelilaani vikali shambulio hilo, akilielezea kama:
“tukio la kulaaniwa kabisa, la kinyama na lisilo la kibinadamu.”
Katika taarifa yake, gavana huyo aliwahimiza wananchi kuwa waangalifu zaidi katika maeneo ya ibada na maeneo ya umma, hasa katika kipindi hiki cha sherehe.

Polisi wamethibitisha idadi ya waliofariki na waliojeruhiwa, wakisema kuwa timu za wataalamu wa kutegua mabomu (EOD) zimezingira eneo hilo.
Msemaji wa polisi wa Jimbo la Borno, Kenneth Daso, alisema uchunguzi unaendelea na kuwataka wakazi kubaki watulivu lakini makini.

TUKIO LA KUTISHA 5 WAUWA, WENGINE ZAIDI YA 30 WAKIJERUHIWA MSIKITINI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KIMENUKA!MADELEKA AFICHUA YASIYOJULIKANA JESHI LA POLISI/AWATAJA WALIOPOTEA, POLEPOLE,BEN SAANANE...

KIMENUKA!MADELEKA AFICHUA YASIYOJULIKANA JESHI LA POLISI/AWATAJA WALIOPOTEA, POLEPOLE,BEN SAANANE...

Como a Cana-de-Açúcar Vira Açúcar Cristal Dentro de uma Fábrica Gigante

Como a Cana-de-Açúcar Vira Açúcar Cristal Dentro de uma Fábrica Gigante

MAFURIKO, FURAHA YAGEUKA KILIO, AFA KWA KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO LA MAJI, NYUMBA ZAZINGIRWA NA MAJI

MAFURIKO, FURAHA YAGEUKA KILIO, AFA KWA KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO LA MAJI, NYUMBA ZAZINGIRWA NA MAJI

JOVIN ALIYEMBEBA BARAKA MGONGONI WAKATI WANA KESI YA UHAINI GEREZANI WATANZANIA WAKAMCHANGIA MIL 10

JOVIN ALIYEMBEBA BARAKA MGONGONI WAKATI WANA KESI YA UHAINI GEREZANI WATANZANIA WAKAMCHANGIA MIL 10

MTANZANIA ALIYETOROKA OMAN AFICHUA MAZITO - ''BOSI ANANIPA SAMBUSA MOJA - MAYAI ANAFICHA CHUMBANI''

MTANZANIA ALIYETOROKA OMAN AFICHUA MAZITO - ''BOSI ANANIPA SAMBUSA MOJA - MAYAI ANAFICHA CHUMBANI''

MWANACHUO ALIEPELEKA DEGREE YAKE KWENYE KABURI LA MAMAYE AFUNGUKA | BABA YANGU ALINIKATAA

MWANACHUO ALIEPELEKA DEGREE YAKE KWENYE KABURI LA MAMAYE AFUNGUKA | BABA YANGU ALINIKATAA

Inside the Toothpaste Factory — From Animal Bones to Toothpaste | Full Process

Inside the Toothpaste Factory — From Animal Bones to Toothpaste | Full Process

HALI MBAYA CONGO, FULL STORI CHANZO CHA KUFUNGWA AHMEDI|| WENZAKE WASIMULIA| WAHUNI WATEKA COPA YOTE

HALI MBAYA CONGO, FULL STORI CHANZO CHA KUFUNGWA AHMEDI|| WENZAKE WASIMULIA| WAHUNI WATEKA COPA YOTE

🔴#LIVE: WAUMINI WA KANISA KATOLIKI WANATOA MSIMAMO KUHUSU ALICOZUNGUMZA ASKOFU MADHABAHUNI..

🔴#LIVE: WAUMINI WA KANISA KATOLIKI WANATOA MSIMAMO KUHUSU ALICOZUNGUMZA ASKOFU MADHABAHUNI..

Tiêu điểm thời sự: Chủ quán ở TPHCM chết cháy, thi thể bị cột bằng 2 sợi dây kẽm

Tiêu điểm thời sự: Chủ quán ở TPHCM chết cháy, thi thể bị cột bằng 2 sợi dây kẽm

DAH! Tazama

DAH! Tazama "A-Z" Vijana 200 wa CONGO Wakinyongwa Hadi Kufa ni Kuluna Waliokutwa na Hatia Mauaji

TAHARUKI! MAITI YAOKOTWA KWENYE MFEREJI WA MAJI

TAHARUKI! MAITI YAOKOTWA KWENYE MFEREJI WA MAJI

ДК МВИГУЛУ ДАЕТ УКАЗАНИЯ ВОДИТЕЛЯМ ТАРАБОТОВ, БАДЖАДЖИ И АВТОМОБИЛЕЙ, КОТОРЫЕ ДОЛЖНЫ БЫТЬ ИЗЪЯТЫ ...

ДК МВИГУЛУ ДАЕТ УКАЗАНИЯ ВОДИТЕЛЯМ ТАРАБОТОВ, БАДЖАДЖИ И АВТОМОБИЛЕЙ, КОТОРЫЕ ДОЛЖНЫ БЫТЬ ИЗЪЯТЫ ...

19+ | ODCINEK 250 CZ. 2

19+ | ODCINEK 250 CZ. 2

Күйөөсүн колунан каза тапкан  Жибек Урустемованын кайын ата, кайын энеси

Күйөөсүн колунан каза тапкан Жибек Урустемованын кайын ата, кайын энеси

Co premier kazał zrobić ministrom? Piątka Pereiry, 31.12.2025

Co premier kazał zrobić ministrom? Piątka Pereiry, 31.12.2025

UKRAINA ATAKUJE REZYDENCJĘ PUTINA? Pretekst do Eskalacji? | Analiza Tygodnia #20 dr. Leszek Sykulski

UKRAINA ATAKUJE REZYDENCJĘ PUTINA? Pretekst do Eskalacji? | Analiza Tygodnia #20 dr. Leszek Sykulski

NDEGE YAANGUKA BAHARINI: RUBANI APOTEZA MAISHA PAPO HAPO - MASHUHUDA WASIMULIA 📍 BRAZIL

NDEGE YAANGUKA BAHARINI: RUBANI APOTEZA MAISHA PAPO HAPO - MASHUHUDA WASIMULIA 📍 BRAZIL

SIRI ZA ASKOFU NA KANISA KATOLIKI ZAFICHUKA SASA KELELE BASI

SIRI ZA ASKOFU NA KANISA KATOLIKI ZAFICHUKA SASA KELELE BASI

MDADA ALIETANGAZA ANATAFUTA MWANAUME WAKUMUOA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA

MDADA ALIETANGAZA ANATAFUTA MWANAUME WAKUMUOA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]