UJENZI SHULE YA SEKONDARI KITUNDA RELINI KUKAMILIKA KABLA YA WAKATI
Автор: DAR CITY TV
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 99
UJENZI SHULE YA SEKONDARI KITUNDA RELINI KUKAMILIKA KABLA YA WAKATI
Na:Shalua Mpanda
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ndugu Elihuruma Mabelya amewahakikishia wakazi wa kata ya Kitunda na kata za jirani kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari Kitunda Relini kabla ya muda wa mkataba wa ujenzi huo.
Ametoa kauli hiyo wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Reuben Kwagilwa katika Shule hiyo iliyofanyika leo Disemba 22,2025.
#daressalaam #habari #ilala #tanzania #city #school #schoollife
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: