Rapcha - Fungua (Official Music Video)
Автор: Rapcha
Загружено: Дата премьеры: 8 дек. 2023 г.
Просмотров: 393 798 просмотров
STREAM/DOWNLOAD TTTV2: https://linktr.ee/rapcha
LYRICS
Fungua
Oya mwanangu vipi?
99 mwanangu
Mbona kinyonge?
Ahhh
Ndo shida hiyo ya kubetia team msizozijua hahah
Ahh sio kubet
Najua babu
Ila umekaa kimya kinoma nini shida mwanangu
We acha tu mwanangu si unamuelewa huyu shemeji yako
jinsi ambavyo nna mkubali
Aah naelewa
Halafu kuna miyeyusho flani anakua ananiletea ambayo sio
Yani kama hivi kuna story ambazo mi nakua nazisikia lakini nikitaka kumwambia yani koo langu linakua kama kuna kitu kimenishikilia hapa nashindwa kuongea yani
Kwasababu najua nikimgusa tu hivi kidogo anakasirika anakuja juu ila nataka kinoma kumchana sa sjui tu naanzia wapi mwanangu
Aaah Kwahiyo tatizo ndio hilo
Ndio hivyo mwanangu
Chukua kwanza kitu hichi
Au sio
Piga mbili ukimaliza hicho mwanangu utakua na nguvu ya kumchana mbona suala dogo Kula kitu maliza mchane
Uhakika??
Imeisha hiyo baba
(lighter sound)
Mmmh naam naam
Uuuu chapa chapa chapa yeah yeah ye ye yeee
Mambo mengine mambo madogo mwanangu anakua anawaza
Cough!!
Mwanangu hiki kama chenye
Msumbiji hiyo baba
Sasa mwanangu
Oi oi oi
Ngoja mi nicheze (mara moja hii umemaliza kitu??) Nikamkute huko huko aliko kwake nikamuanzishie kama vipi Aina noma simu zilie mzee simu zilie babaaa
Door bell rings
Hizi kengele huyu anahisi nacheza nini?
Fungua inamaana huskii hii kengele au utaka nije tu kukulabua
Kama mnafichana ndani ya makabati leo nitawasha moto hii nyumba ndo mtanitambua
Skia em fungua usitake nijaze watu waje waokote tu vipande maana watakuta nishakupasua Sasa basi napiga kengele mara ya mwisho na navunja kama hutaki kufungua
Oya em Fungua ushaniweka zaidi ya nusu saa nakubishia hodi hutaki kufungua
Ila Hawa kenge wanaokufata sehemu nayolipa kodi wakigonga mlango na miguu unafungua
Sasa Kabla sijapita na huu mlango mpaka ndani na kutibu jeuri yako nitapokubutua
Ngoja nahesabu moja mpaka tatu nauvunja maana nishagonga sana hadi vidole vimeungua
Majirani wananambia kuna njemba napishana nazo sana zinaingia mi nikiwa sipo
Na ndio maana unanambia nikitaka kuja niwe nakupigia leo nimetimba bila info
Hivi kitu gani nitakupa we mwanamke ukatulia
Ukatuliza na roho yangu ikatulia
Nshakuambia mara ngapi hujasikia
Na nazidi kurudia sasa leo utajutia nakuapia
Juzi juzi niliona tu umeshare snapchat uko level one na pembeni yako kuna mchizi Nikadaka boda nikufate nafika sijakuona nikaambiwa kuwa ushasepa the deez Najitahidi nisikuchunguze ila story zinanifikia na kiukweli zinanipa uchizi
Picha zako zote ndani ya gari tofauti unabadili tu mikao huku unachezea keys
Kuleta rafiki zako wa kiume kwenye nyumba niliyokupangia kwanza nshakupiga marufuku Wanajiachia sebleni na vipensi wanacheza na rimoti kama wanachangia luku
Na hawatosheki na chakula unachowapikia maana wanakula mpaka yule anaewapikia Navyogaramia na mateso unayonipatia hii nyumba mara mia nifugie kuku (kwenda)
Staki hizi mbichi ooh naah
Ukakasi mwingi staki staki staki hili bichi ooh naah
Kukupenda staki hii ni homa
Nimekoma tena staki staki hii sonona, noma
Kuna namba umeisave Daddy kwenye simu yako
Nimeshtuka hata kumbe huyo sio babaako
Unajifanya huna makuu bonge la pretender
Kuna story nimeskia sikuhizi we ni blender
Fungua, kabla sijasema vyote fasta fasta
Fungua, lazima nitapata kesi navunja kitasa
Fungua, staki ufala leo utapata unachokitaka
Fungua, mapenzi nikache staki, bomboclat!!!
Kabla sijakuacha nitakufunza adabu bwana utaempata huko atakuta umeshashika adabu Hizi tabu juu ya tabu nimeshindwa ustaarabu
Kama Ndoa nishatoa kwenye hesabu ushanikata vibe
[Nkunda star]
Audio produced by: / slimsal_daresalim
Mixing and Mastering by: / gachib
Video directed by: / majag
Join Our Family:
/ rapcha_tz
/ rapcha_tz
/ rapcha_tz
#rapcha #fungua #tothetopvol2

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: