Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MAGUFULI ALIPOKATAA KUIPOKEA BARABARA YA KILWA (KM 5.1)

Автор: Malili Migongwa

Загружено: 2015-05-25

Просмотров: 133344

Описание:

UJENZI wa Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam ambayo Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli alikataa kuipokea mwaka 2011, baada ya kujengwa chini ya kiwango. Ujenzi wa kipande hicho cha kilomita 5.1 kutoka Mtongani hadi Mbagala Rangi Tatu, ulikamilika mwaka 2012.

Mafundi wa Kampuni ya Kajima ndio waliokuwa wakijenga kipande hicho cha barabara .

Magufuli alikataa kuipokea barabara hiyo kutoka katika Serikali ya Japan, iliyotoa msaada wa fedha na ujenzi kufanywa na Kampuni ya Kajima, baada ya kujiridhisha kuwa ilijengwa chini ya kiwango.

Magufuli alimweleza Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada kwamba asingeipokea barabara iliyo chini ya kiwango hata kama imetolewa kama msaada kwa Tanzania.

Baada ya msimamo huo wa Serikali, Japan ilifanya uchunguzi na kubaini kuwa kampuni hiyo ilijenga barabara hiyo chini ya kiwango.

Kutokana na hali hiyo, Balozi Okada aliahidi kurudia ujenzi wa kilometa 5.1 kipande ambacho waligundua kuwa kampuni hiyo ilijenga chini ya kiwango.

Baada ya kauli hiyo ya Balozi, Dk Magufuli alimtaka mkandarasi huyo kuondoa tabaka la lami na kuweka tabaka jingine gumu lenye sentimita saba jambo ambalo limetekelezwa baada ya marudio.Ujenzi wa Barabara ya Kilwa yenye urefu wa kilomita 13.5 kutoka bandarini hadi Mbagala Rangitatu ulizinduliwa kwa kuwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2007.

MAGUFULI ALIPOKATAA KUIPOKEA BARABARA YA KILWA (KM 5.1)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013

HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013

Magufuli - 2005, tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

Magufuli - 2005, tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje

Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje

LOWASSA AJIUZULU UWAZIRI MKUU

LOWASSA AJIUZULU UWAZIRI MKUU

DR. MAGUFULI AKIFAFANUA KUHUSU HIFADHI YA BARABARA

DR. MAGUFULI AKIFAFANUA KUHUSU HIFADHI YA BARABARA

MOTO WA MAGUFULI ALIPOKUWA WIZARA YA ARDHI

MOTO WA MAGUFULI ALIPOKUWA WIZARA YA ARDHI

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Mhe  Magufuli, Kudorora kwa Ujenzi | TBC

Mhe Magufuli, Kudorora kwa Ujenzi | TBC

Orijino komedi na mtu mzito.

Orijino komedi na mtu mzito.

Uvuvi haramu Kanda ya Ziwa 'wamchefua' Rais Magufuli, amkingia kifua Waziri Mpina

Uvuvi haramu Kanda ya Ziwa 'wamchefua' Rais Magufuli, amkingia kifua Waziri Mpina

Magufuli aamsha dude jingine bandarini

Magufuli aamsha dude jingine bandarini

Hotuba ya Mzee Yusuph Makamba, kwenye Mkutano wa Kampeni ya CCM, Mjini Morogoro

Hotuba ya Mzee Yusuph Makamba, kwenye Mkutano wa Kampeni ya CCM, Mjini Morogoro

"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM

DR MAGUFULI AKAGUA NDUNDU SOMANGA 65 KM I

DR MAGUFULI AKAGUA NDUNDU SOMANGA 65 KM I

MAGUFULI ALIVYOMNYANYUA KIKWETE NA MWINYI KUZUNGUMZA

MAGUFULI ALIVYOMNYANYUA KIKWETE NA MWINYI KUZUNGUMZA "SWAUMU IMEMCHOSHA"

Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”

Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”

Rais Magufuli akihutubia kwa Kingereza mkutano na wafanyabiashara wa Afrika Kusini

Rais Magufuli akihutubia kwa Kingereza mkutano na wafanyabiashara wa Afrika Kusini

MAGUFULI ATUMBUA JIPU MBELE YA WANANCHI

MAGUFULI ATUMBUA JIPU MBELE YA WANANCHI

"Wanatabia ya kutoa shukrani mtu AKIFA , Pengo lako tutakukumbuka" Magufuli enzi ya Uwaziri.

DAAH! MAGUFULI KAONGEA KWA UCHUNGU -

DAAH! MAGUFULI KAONGEA KWA UCHUNGU - "SIWAFUKUZI ILA ONDOKENI, MNAWAUA WANANCHI WANGU"

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]